Adverts

Jan 16, 2013

IS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA (AU) NA RAIS WA BENIN


R
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiongea katika mkutano na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiangalia ngoma katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.

PICHA NA IKULU