Adverts

Feb 12, 2013

MAHAKAMA HALI SASA YATIA MATUMAINI

HII NI SEHEMU YA SHEHENA YA MAFAILI YA KESI MBALIMBALI KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MBOZI AMBAPO IMEEELEZWA KUWA IDARA YA MAHAKAMA SASA IMEKUWA IKIPATA KWA WAKATI VITENDEA KAZI YAKIWEMO MAJALADA NA KARATASI ZA KUANDIKIA HATUA AMBAYO INACHANGIA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA ZA MAHAKAMA