Adverts

Mar 10, 2013

AKINA MAMA MBOZI WAJIPANGA VYEMA KUWAOKOA WATOTO WAO WA KIKE

 Akina mama wakifuatilia kwa makini matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea ukumbini
 Mdau huyu pia kutoka CRDB Mbozi alihudhulia na kuchangia harambee iliyoendeshwa na mkuu wa wilaya Ukumbini hapo
 Mratibu wa hafla hiyo Bi ZAINAB MAJUBWA akiserebuka na mkuu wa wilaya ya Mbozi  Dr Michael Kadeghe ambaye alichangia kiasi cha shilingi 300,000/=

 Kuwatuza wasanii waliofanya vyema ilikuwa hatua muhimu ya kurambarambisha hafla hiyo
 MC wa shughuli hiyo bwana Akadodi Chaula Isaya akiwa kwenye ufanikishaji wa shughuli hiyo
 Naam sina la kusema! si nimesema usiku wa mwanamke? ndiyo huo sasa!!!!!
Mkurugenzi wa Unyiha Associet pia alikuwa miongoni mwa waalikwa