Adverts

Mar 2, 2013

INTEGRATED PLANNING- BRAVO MZEE GUBUZO

 MTAALAMU WA PROJECT PLANNING BWANA GUBUZO AKIFUATILIA MAMBO KWA MAKINI
 GUBUZO AKISHUSHA NONDO
 HAPA KITU KINAPIKWA ILI BAADAYE KIPAKULIWE NA KULIWA NA WANANCHI
 BAADA YA KUMALIZA KAZI MATARAJIO YA WATU NI KUKABIDHIWA MAGAMBA YAO NA ILIKUWA HIVYO!
DR NHEMBO AKIKABIDHI UFUNGUO WA MLANGO KWA MTENDAJI WA KIJIJI CHA WAMI DAKAWA  BAADA YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA DARASA LA STASHAHADA YA UZAMILI YA MIPANGO KUKARABATI MADARASA YA SHULE HIYO