Adverts

Mar 3, 2013

JANA NA LEO TULIKUWA NA MGENI WETU CLAUDIA KATIKA SHUGHULI ZA ASASI YA ELIMISHA

 Claudia akiwa ofisini Elimisha, ambapo alielezea kufurahishwa na shughuli zinazotekelezwa na asasi yetu na kututia moyo
 Leo tulitoka kidogo hadi kwenye kimondo wilayani Mbozi ambapo alifurahia kwa kivutio muhimu cha utalii na kutaka kitangazwe ili watu wakiwa kwenye mapumziko yao wawe wanatembelea
 Mara ka-public transport ketu kakanyea kambi! yaaani  basi letu liliharibika njiani hivyo kulazimika kutafuta njia nyingine
Hapa Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Elimisha Festo Sikagonamo akizungumza na Claudia namna ambavyo raslimali maji inahitaji kuhifadhiwa katika milima ya Livingstone