Adverts

Mar 16, 2013

UHAMILISHAJI WA NG'OMBE MBOZI WAANZA KULETA MAFANIKIO

 1+1=2  HII INATHIBITISHWA NA MRADI WA UHAMILISHAJI NG'OMBE WILAYANI MBOZI AMBAPO UZAO WA NG'OMBE WANAOPANDWA NA MADUME BORA UMEANZA KUDHIHIRIKA!!! NDAMA HUYO NI MATOKEO YA MPANGO WA UHAMILISHAJI
DUME BORA AKIPEWA CHAKULA TOFAUTI NA NG'OMBE WENGINE HII IKIDHIHIRISHA KAZI ALIYONAYO KUENEZA NA KUAMBUKIZA UZAO MPYA KIJIJINI- YEYE NDIYE MWENYE JUKUMU LA KUBADILI KIZAZI CHA NG'OMBE WAFUPI KIJIJINI NA KUWA KIZAZI CHA NG'OMBE BORA NA WAREFU!!!


HAPA BABA RANGI IMEGOMA!!! KAMA HUKUIBIWA SIJUI???  MIONGONI MWA NG'OMBE BORA WALIOZALIWA BAADA YA UHAMILISHAJI