Adverts

Mar 14, 2013

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA SHAJI KUPITIA MFUKO WA JIMBO

Hili ni moja ya majengo yaliyowezeshwa hatua za uezekaji kupitia mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo la Mbozi Mashariki. Hatua hii imechochea kasi ya wananchi katika ujenzi wa miundombinu ya kusomea kutokana na kuahidiwa kuchangiwa mara wanapofikisha ujenzi wao kwenye renta