Adverts

Apr 13, 2013

UWANJI CLASSIC HOTEL YAFUNGULIWA MJINI TUNDUMA, NI KIOTA KIPYA!!!!!

 HOTEL MPYA YA UWANJI CLASSIC HOTEL YA MJINI TUNDUMA INAVYOONEKANA KWA MBELE
 BANGO LA UPANDE WA HOTEL NA PUB AMBAPO WATU HUPATA RAHA ZAO KUANZIA CHAKULA BORA NA CHA KILA RADHA UNAYOITAKA NA KWA UPANDE WA PUB UTAPATA VINYWAJI VYA KILA AINA UNAVYOVITAKA
 UNAPOFIKA UWANJI CLASSIC HOTEL, TAMBUA KUWA UMEKAMILISHA NDOTO YAKO YA USINGIZI WENYE SIFA ZOTE MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO HAPA DUNIANI.

 KWA MALAZI YENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA, NI UWANJI CLASSIC HOTEL
 MENEJA WA HOTEL YA UWANJI AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WAKE KATIKA UTARATIBU WA KAWAIDA WA HOTEL MANAGEMENT KUPOKEA MAONI KUTOKA KWA WATENDAJI WA KILA SIKU
 UKUMBI WA HOTEL, MAHALA PA KUPATIA CHAKULA UKIWA NADHIFU
 UNAPOLALA UWANJI CLASSIC  HOTEL USIWE NA HOFU NA HABARI YA KUOGA, WAKATI WOTE UNAPATA MAJI YA MOTO
 HAPA NI PUB AMBAPO UTAKUNYWA KILE UNACHOTAKA, MADEREVA WA MAROLI YANAYOVUKA MIPAKA NJE YA TANZANIA WAMEKIRI KUWA HAPA NI MAHALA SAHIHI KWA WAGENI WANAOINGIA NA KUTOKA NJE YA TANZANIA
 ULINZI NI WA UHAKIKA HUKU HOTEL IKILINDWA KWA MIFUMO YA KISASA ZIKIWEMO WAYA ZA UMEME ZILIZOZUNGUKA HOTEL HIYO
 MKURUGENZI WA UWANJI CLASSIC HOTEL BWANA  WILLY NGOGO  AKIZUNGUMZA JANA NA INDABAAFRICA BLOG AMBAPO AMESEMA LENGO NI KUWAWEZESHA WAGENI KUFURAHIA MAISHA WAWAPO TUNDUMA NA MKOANI MBEYA KWA UJUMLA

 WASILIANA NA UWANJI HOTEL KWA SIMU  +255759559669,0655559669,0683559669
 WAFANYAKAZI WA UWANJI HOTEL WAKIFUATILIA MAJADILIANO YALIYOONGOZWA NA MENEJA WA HOTEL HIYO LEO MCHANA
 SEHEMU YA WAFANYAKAZI WAKISIKILIZA KWA MAKINI BWANA NGOGO ANASEMA KUWA, MAANDALIZI YA UJENZI WA ONE STOP BORDER POST YANAYOENDELEA SASA KATIKA ENEO LA TUNDUMA NI MUHIMU YAENDE SAMBAMBA NA MIUNDOMBINU KAMA HOTEL NA HUDUMA ZINGINE ILI KUWAWEZESHA WATAALAMU WA UJENZI, VIONGOZI WA SERIKALI NA WADAU MBALIMBALI KUFURAHIA MAISHA YAO WANAPOKUWA KIKAZI KWENYE MIRADI HIYO NA KWAMBA UWANJI CLASSIC HOTEL NI SEHEMU YA MIKAKATI YA KUWEZESHA HUDUMA MUHIMU ZINAPATIKANA KATIKA MJI HUO