Adverts

Oct 13, 2013

KIPANYA CHATEKETEA KWA MOTO MBOZI

Mmiliki wa Gari hilo akiangalia namna linavyoteketea kwa moto asijue namna ya kuliokoa baada ya moto kukolea, inaelezwa kuwa gari hilo amelinunua siku nne zilizopita hivyo lilikuwa jipya mikononi mwakeWakazi wa Vwawa wakiangalia kipanya kilichoteketea kwa moto, sababu za ajali hiyo inaelezwa kuwa  ni kutokana na tenki la mafuta kutoboka na hivyo kumwaga mafuta kwenye vyuma vyenye moto na hivyo kulipuka Picha kwa hisani ya Mtandao wa mkwinda blogspot.com