Adverts

Oct 11, 2013

MBIO ZA MWENGE WILAYA YA MBOZI NA MOMBA

wakati wa kuzindua klabu ya wapinga rushwa katika shule za sekondari

Kiongozi  wa mbio za mwenge akiangalia picha zilizochorwa na wanafunzi kuonyesha kuchukia rushwa ya ngono

Mkimbiza mwenge akikagua mradi wa umwagiliaji Iyula

Uongozi wa halmashauri ya wilaya ukishuhudia makabidhiano ya mizinga kwa kikundi cha vijana 

Uzinduzi wa chuo cha wauguzi Mbozi mission 

wadau kutoka momba wakiwa tayari kwaajili ya mbio za mwenge wilayani mwao

miongonimwa miradi iliyozinduliwa ni ukumbi wa shule ya sekondaari ya Vwawa 

kaaazi hapa ni kuoga baaadaye, kikundi cha ngoma ya ndili kikiwa kamili gado 
Mkuu wa wilaya Mbozi ambaye haonekani pichani akimkabidhi mwenge Mkuu wa wilaya ya Momba 

Rigwaride linaelekea kunishinda!!! hop hop 

Soooosi Up sossi uppp  up  up  ndivyo wanavyotumia singe kuchoma mbele, kushoma juu kushoto kulia nyuma 

Mgambo wakionyesha heshima yao mbele ya harakati za mwenge baada ya kuhitimu kozi yao 

Kiongozi wa Mbio za mwenge kitaifa akikabidhi moja ya  miradi kwa  wanufaika -Mradi wa mizinga kwa vijana kupitia halmashauri ya wilaya ya Mbozi