INDABA AFRICA

Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!

Apr 7, 2009

JAMANI KUOA KUZURI

›
Huyu ni mdau wangu wa karibu, siku hii nadhani hatakuja kuisahau manake ndiyo aliingia kwenye ukurasa mwingine wa maisha, nawatakia maisha ...

UJUMBE UMEFIKA

›
Bango likionyesha kuwa wanawake hawabeep!!!! hii ilikuwa moja ya harakati za wanawake wilayani Mbozi kujieleza mbele ya jamii katika maadhi...

ADP MBOZI nao wamo

›
Mh Diwani Sinjela wa mjini Vwawa akikabidhi msaada wa sare za mwanafunzi kwa mmoja wa walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu V...

Masuala ya Maendeleo vijijini

›
Hii ni timu ya watoto wa Mzee Darajas, yaani Babu yangu, hapa yupo baba mzazi mzee Nzilani Awdst Tweve yeye anazungumza zaidi Kizulu si una...

CHIFU NAYE YUMO KUPAMBANA NA UJINGA

›
Hii ni timu ya Mila na desturi iliyomkaribisha JK alipotembelea wilaya ya Mbozi, alivishwa pamba za kimila kumtambua kama "mwene...

Jengo la kitegauchumi la NSSF Mbozi

›
Huu mjengo ndiyo sura ya Mbozi, tunawashukuru NSSF kwa kutambua umuhimu wa kuipa tafu Mbozi kwa kujenga jengo lenye kuleta sura nzuri, hap...

KAMERA NAZO ZIPO BWANA

›
Waala huu sio mzigo ni tukamera tuchache, tena zinginenimeziacha nyumbani jumla ninazo arobaini na tisa!!!! ndivyo anavyonekana huyu mpiga...

Mbozi Nzuri bwana hata Jk ameipenda

›
Rais Jakaya Mrisho Kikwete siku alipotembelea wilaya ya Mbozi, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji CRDB Bank Dr Charles Kimei, akifuatiwa...

Jioni Mbozi huwa hiviiii

›
Hii yote ni madhari ya kuvutia katika wilaya ya MBOZI, jua linaelekea kuzama, lakini ni kwa kiasi gani tumetumia fulsa za utalii kuitangaz...

Timu ya veteran Simba katika mji wa Vwawa

›
Timu ya Veteran Mjini Vwawa katika Wilaya ya Mbozi ,imekuwa na utaratibu wa kuwafanyia mauaji ya mwaka kila mara inapokutana na wapinzani w...
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.