Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Jul 9, 2009
Nimeshapata jiko
›
Salaam wasomaji wa blog hii, ninapenda kuwaashukuru wote walionitumia salaam za kheri ya kuanza ndoa na maisha ya mke na mme, kimsingi nimea...
May 3, 2009
HONGERA DOROTH MWANYIKA, MBOZI WANAKUKUMBUKA KWA KUSIMAMIA VYEMA TANZA KESHO
›
Rais aliwaapisha pia Makatibu tawala wa mkoa wa Mwanza Bi.Doroth Mwanyika na katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bwana Yusuf Athumani Matumbo. ...
MBEYA PRESS YAPATA VIONGOZI WAPYA
›
Mwandishi wa TBC bwana NICO MWAIBALE jana aliibuka kwa ushindi wa kimbunga kuwa mwenyekiti wa chama cha wandishi wa habari mkoa wa mbeya. K...
WANDISHI MBEYA WASIKITISHWA NA VIFO VYA WENZAO
›
Mkutano mkuu wa Chama cha wandishi wa habari mkoani Mbeya, umepokea kwa masikitiko taarifa ya vifo vya wanachama wake 6 katika kipindi cha ...
Apr 30, 2009
MCHUNGAJI ALIYEJIFANYA KUIBANIA MAHAKAMA, YAMKUTA HATIMAYE AREJEA KUAPA
›
Hatimaye Mchungaji Simon Kitwike wa Kanisa la EAGT Ichenjezya wilayani Mbozi mkoa wa Mbeya, aliyekataa kuapa mahakamani na kupelekea kufungw...
CHELE BOVU LAMWAGWA!!!!! KWELI NDOMONDO ANATISHA
›
Jumla ya tani 11 za mchele uliokuwa ukisafirishwa kutoka nchi ya Vietnam kuingia nchini na kukamatwa na Mamlaka ya Mapato nchini, katika mpa...
MTUMISHI WA MUNGU MWAKASEGE KUFANYA MKUTANO BIRGHAM
›
KWA WATAKAOPATA FULSA HUDHURIENI MPATE HUDUMA YA KIROHO NA UPAKO NI MTUMISHI ALIYE JUU KATIKA HUDUMA ZA KIROHO, ANAHESHIMIKA, NI VIFAA MUHI...
DARAJA LA MNING'INIZO
›
Hii picha nimedowea kwa mdau wangu maisha ni vita.blogspot.com. Hili ni ja ya madaraja yaliyojengwa na Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF wi...
ALBINO ANAPOKARIPIWA NA POLISI
›
Mlemavu wan Ngozi Bi Judith Silwimba anaonekana akinyoshewa kidole na Mkuu wa kituo cha polisi cha Tunduma kilichopo mpakani mwa Tanzania ...
MANAMBAZI WATOROKA KWA HELKOPTA BAHARI YA HINDI
›
The two crew members of the hijacked helicopter were unhurt A convicted sex offender and cult leader has escaped by helicopter from a priso...
‹
›
Home
View web version