eneo ambalo uji uji wa miamba husambaa na kupozwa . eneo hili ndilo ambalo watu wamekuwa wakilitumia kuja kuoga kwa kuchota maji kidogo yatokayo kwenye miamba ya moto na kuchangana na maji ya mtoni kisha kuoga kwaajili ya kutoa nuksi na mikosi. Ndivyo wao wanavyoamini sijui kwa upande wenu !