Sep 27, 2010

MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AMEAMUA KURUDI KIJIJINI

Huyu bwana bahati mbaya jina limenitoka, alikuwa mchezaji wa simba kwa maelezo yake, baadaye maisha ya mjini yakamfua ameamua kurejea kijijini ambako sasa ni mkulima mzuri tu wa KOJKOA jamani kama mambo hayaendi mjini bora turudi vijijini. Nimemkuta jamaa akiwa bize kubangua mikakao yake tayari kuipeleka sokoni baada ya kuona mambo mjini not reachable!.