Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Sep 30, 2010
UNAKUMBUKA ENZI ZA NYIMBO YA MTAA WA SABA
Sasa nimehamia mtaa wa saba!!! unahamaje na hicho kiatu? ilikuwa watu wanakula raha kwa kwenda mbele manake hiyo kitambaa eneo la paja bana halafu chini malizia mwenyewe!!!!