Sep 27, 2010

WASUKUMA BWANA KWA KURUKA NAO WAMO

Hii ngoma ni balaaa!!! manake Kamsamba pale bila hii ngoma watu hawaji hatakama utawatangazia kuwa watapewa nyama ya ng'ombe bure, inakuwa kama vile wandamba wa kule malinyi wanakwambia bila nsele(wali) magoma yanaishia saa sita lakini ukiweka nsele magoma mp'ka asubuhi tunacheza na vidonda vya miba (funza). wamejichukulia umaarufu sana kwa ngoma zao hizo zenye midadi ya kukatika na kuruka juu . Tupo pamoja sana hasa huku vijijini kwenye shughuli za hamasa.