Sie huku vijijini tuna utaratibu wa kushirikiana katika masuala ya shida na raha, tuna vikundi vya Kitulano ambavyo huundwa makanisani kuhamasishana kuchangiana wakati jambo lolote la kijamii likijitokeza> hapa ni akina mama wa Kitulano kijiji cha Kiwira wilayani Rungwe wakiwa kwenye moja ya shughuli za misiba.