Oct 1, 2010

Kazi inapozidi wengine hubeba mkoba tayari kuondoka

 Kaka unaremba mno wenzio tumechoka, halafu njaa!!!!!!!!!!!!
Naona husikii eeee! Ngoja nianze zangu ,ndivyo  Anchor wa Blog anavyoonekana kumpa maneno Cameraman baada ya kuona zoezi halina muda wa kwisha wakati lunch time ndiyo inapita hivyo!!!