Ilikuwa furaha siku jamaa huyu alipotembela familia yangu wakati wa kuuga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka 2011 katika kijiji chetu cha Vwawa wilayani Mbozi, huyu bwana yeye ni afande wa jeshi la magereza huko moro na tulipoteana siku nyingi sana. Karibu sana