Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Jan 27, 2011
EBU NIJIBUNI KWANZA...
Ivi kwa mfano ile umerudi kutoka Job umechoookaa kishenzi alafu ile kufungua mlango wa chumbani kwako 2 unakuta kiumbe kama icho kipo kitandani mwako kinakuangalia ivyo daaah! Sema ukweli utachukua hatua gani kwa muda huo....
"
‹
›
Home
View web version