Jan 30, 2011

THE GREAT(KANUMBA) NDANI YA VOICE OF AMERICA(VOA)WASHINGTON DC.

THE GREAT NDANI YA VOICE OF AMERICA(VOA)WASHINGTON DC.: "HAYA NI MAELEZO YAKE KANUMBA KUPITIA BLOG YAKE
Nimepata mwaliko wa kutembelea voice of America na kufanya interview tatu tofauti yaani ya redio,ya TV kwa lugha ya kiswahili na ingine kwa lugha ile yetu ya Kiingereza chini ya mtangazaji mahiri kabisa MR.SUNDAY SHOMARI,Baada ya interview nilipewa zawadi nzuri ambayo nami nachukua nafasi kushukuru sana kwa zawadi na kupewa heshima hii ya kukaribishwa VOA sehemu kubwa ya kimataifa na yenye heshima. Nikivarishwa mic tayari kwa interview Sunday,the great na dada sharifa Bosi DR.Mwamoyo Hamza,the great na dada sharifa
Sunday Shomari akijiandaa kuanza kipindi
The great nikirekodi tangazo la VOA yaani mimi steve kanumba na unatizama Swahili VOA
Kibao kikielekeza unakostahili kwenda
Sunday Shomari na Steven Kanumba katika logo ya VOA
Interview ikiendelea
Kwa raha zangu nikijibu maswali kwa uyakinifu
Taa za production zikifanya kazi yake kwa juu
Camera zikiwa sawia kabisa kwa kazi
Hii ndio VOICE OF AMERICA
The great na Father Bandawe alikuja kuniona ninavyofanya interview
The great na producer Duane Collins
Nikipokea zawadi yangu toka kwa DR.Mwamoyo Hamza ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha kiswahili VOA.Nikashukuru sana kwa hili.
SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KABISA ZIWAENDEE:-Dada Sharifa Kalala(WORLD BANK),DR.Mwamoyo Hamza(VOICE OF AMERICA),Sunday Shomari(VOICE OF AMERICA)Mungu azidi kuwabariki.
"