Jan 31, 2011

naomba maoni yako,,usisahau kuongelea upande wa utamaduni wetu juu ya hili.

Hatimaye kambi ya Kisura yaanza rasmi leo katika hoteli ya Kiromo Bagamoyo. Visura wote wamewasili kambini salama huku yule mshiriki kutoka pande za Monduli akisindikizwa na walinzi wawili au morani. Kwa habari kamili cheki mambo yalivyokuwa
Dada Juliana akiongea na waandishi wa habari
Visura wakiongea na waandishi wa habari
Kipuyonde Laiboni kisura toka pande za Monduli
Mchumba wa Kipuyonde bwana Paulo Laidoni akihojiwa na waandishi wa habari. Bwana Paulo kasema hawezi mwacha mchumba wake akae kambini pekeyake. Dar es salaam kunawajanja watamuibia. Kwahiyo nayeye anataka kukaa kambini.
Kisura wetu Kipuyonde akihojiwa na waandishi wa habari. Hajuwi kiswahili.
Kisura wetu akiwa na kakayake Mshangamal Laiboni. Yani hawa wote wanatoka kwenye Boma moja. Hawa ni mtu na kakayake. na mchumba wake Paulo wameshare baba ila mama tofauti. simchezo
Vijana wangu wakiwa makini.
Nilipiga picha na Rafiki yangu toka Full Shangwe.
Visura wakipozi kwa pamoja
Visura toka Dodoma
Visura toka Jiji la Dar es salaam
Visura toka Arusha
Visura toka Dodoma
Visura toka Arusha
Nikapata picha na Kipuyonde Laiboni Kisura wetu.
Clauds TV nao walikuweko. Hapa wakifanya mahojiano na Mwakilishi toka FHI
Kisura akiwa na walinzi wake
Mchumba wa kisura wetu Mr Paulo Laiboni akiwa makini kabisa
Kisura wetu Kipuyonde Laiboni. Hakika dada ukifanikiwa kushiriki kikamilifu utafika mbali sana.
Juliana akiongea na kaka wa Kipuyonde. Hapa alikuwa anamwambia wanaume hawawezi kuu kaa kambini. Hauwezi kuweka boma huku.
Kisura wetu akiwa na mchumba wake bwana Paulo
Kama kawa namimi nikatowa swagga
Mdau kutoka Clauds TV
Tunawakilisha
Visura
Visura
SWALI:unafikiri kushiriki kwa Laiboni ktk mashindano haya hasa iwapo atashinda kuna faida au hasara gani kwa tamaduni za Kabila la kimasai?
"