Jan 29, 2011

SHEHENA YA MAHINDI INAPIGWA MVUA KWENYE GHALA LA TAIFA MBOZI

Picha imepigwa kwa mbali nikiwa kwenye gari, lakini ndiyo chakula kile kinachokusanywa kwaaajili ya akiba pale majanga yakitokea lakini inaonekana hakuna hata Turubai la kufunika hapo, sijui iko vipi kwa kuzingatia kuwa kila siku Mbozi lazima mvua inyeshe! au ndiyo watu kuchoka majukumu yao?