Sudi Mette akiwa na rafiki yake wakingwangua barafu iliyoliziba gari lake huko Bonn- Ujerumani. Barafu imefunika barabara na viwanja vya ndege kiasi cha kuzuiasafari za ndege na vyombo vingine vya usafiri barani Ulaya. 
Sudi akinasua gari hilo kwa kukwangua barafu ili awahi majukumu yake. 

