
Waziri  Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiongea na Bibi Dorothy Nduku Kipsang  mwakilishi wa Swedish Coopperative Centre kutoka Kenya baada ya kufungua  mkutano wa wadauwa  jumuiya ya benki za wananchi (community banks  association -CBA ) katikati ni mwenye kiti wa jumuia hiyo bwana  Sylvester Katemana mkutano huo  umefunguliwa leo. Picha na Chris Mfinanga