INDABA AFRICA

Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!

Feb 23, 2011

SHEHENA YA VIAZI IKIWA ENEO LA BLACK MARKET KUELEKEA SOKO LA ZAMBIA

Shehena ya viazi ikiwa inasubiri wachuuzi eneo la Tunduma tayari kwa kuuzwa, kwa sehemu kubwa wanunuzi wa bidhaa hiyo ni kutoka upande wa Zambia ambao wamekuwa wakimiminika kutokana na bei ndogo ya viazi inayouzwa kwa gunia.Picha hii nimeichukua jioni hii nikiwa nafuatilia mambo flani pale Black Market ambalo ni soko linalotenganisha upande wa Zzambia na Tanzania, yaani sebule inakuwa Tanzania wkati Chumba kipo upande wa Zambia.
at 8:07 PM
Share
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.