Dah leo Babu Loliondo kutokana na foleni kuwa kubwa ikabidi awaambie watu wapange foleni tofauti ya UKIMWI kushoto na kisukari kulia. Unaambiwa mstari ule wa kushoto (Wa ukimwi) haukuwa na mtu hata mmoja, babu akafurahi kuwa waathirika wamepungua sasa akawa anataka kumwaga ile dawa ya ukimwi! Duh watu wakaanza kupiga kelele "hhaaaa babu usimwage bwana, huwezi jua babu acha bwana tuko hapa leo siku ya tano babu" ikabidi babu ashangae vipi tena!"