Mar 2, 2011

JAMAA ANAJUA KUREMBA KWENYE BIASHARA ZAKE ZA UMACHINGA BALAAA!!

 Unadhani hapa mwanzo? hapo keshapiga lugha dakika kama arobaini hivi kupamba bidhaa zake
 Hapo anaongeza na penseli ya mwanafunzi wa chekechea
 Hapo sasa ndiyo anaweka na ile kitu inaitwa Bakshish -murua!!! mbwembwe tupu!!!!!!!!!!!!!!!
Anaweka na sabuni ya Ashura nyumbani hata kama anayemuuzia ni bachala utasikia ya hadija na ashura nyumbani