Mar 2, 2011

LEO NIPO NA NINYI HOSPITALI YA MKOA

 Nilianza hapa najaribu kupata picha ya maneno yaliyopo kwenye bango, nashindwa kabisa kumalizia sentesi!!!!! hebu nijaribu hapa !!!!
aaah wapi chenga chenga tu!!! sipati picha vizuri.
 Hivi hamtambui kama maua haya yamezidi na kufunika kabisa maandishi ya bango la kuelekeza hospitali ya Mkoa? kila siku mnapita hapo kuelekea kazini na kupeleka wagonjwa  huwa mnasoma kweli mabango yenu baada ya kuwekwa?