Mar 9, 2011

MWEZESHAJI ANAPOKUWA MSHIRIKI WA MAFUNZO

Afisa Maendeleo ya jamii kutoka wilaya ya Mbarali mmoja wa waratibu wa Utafiti wa uwezo wa watoto walio kwenye umri wa kwenda/kuwa shule akiwa kwenye harakati za kutuma sms kwenye simu yake wakati akihudhulia mafunzo hayo leo ukumbi wa TEC Kurasini