Mar 24, 2011

NGOMA HII KUMBE ASILI YAKE NI MBOZI NA SIYO AFRIKA KUSINI

Nimekuwa nikifuatilia sana ngoma inayochezwa na nchi za kusini mwa afrika ya jamii ya zile za Kizuru, Kikhosa, Kiswazi na Kitswana pia kwa kabila la Wanyiha wilayani Mbozi na wasafwa wilaya ya Mbeya ndiko makao makuu yake kwani zimekuwa zikichezwa kwa staili ile ile isipokuwa kiwango cha kurusha miguu -Umlangha ) kimekuwa kikitofautiana!!