Mar 19, 2011

SAFARI NJEMA

Nimeukumbuka ule wimbo wa  Juma Kakele -safari
"  mpenzi unaondoka ......mawazo mawazo mawazo, ukiwa ukiwa ukiwa.....

habari za nyumbani mamaaa, waoneje wazazi nyumbani, tangu ulipokwenda kwenda kuwaona, kwani ni siku nyingi hatuna habari nawe pole sana mama kwa safari bibie.....