Mar 1, 2011

Waziri Tibaijuka Azungumza Rasmi na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba La Taifa (NHC)

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Anna Tibaijuka akijibu maswali ya waandishi wa habari kabla ya kuanza mkutano na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemia Mchechu.
Pichani : Waziri Tibaijuka akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakati akiingia katika ofisi za Shirika hilo kwa ajili ya mkutano na wafanyakazi hao.
"