Apr 26, 2011

IRINGA BILA SHAKA MNAIJUA HII KITU MMEA!!!!!!!!!!!

Haya tena huu mmea unaheshimika sana hasa katika vijiji vya Ifunda, Tanangozi, Ihemi, Makete, Mafinga, Kibaoni na kwingineko hata kijiji kwa akina Masanja mkandamizaji ambako watu saa mbili asubuhi unamkuta yupo mbwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! kitu tamu sana inaitwa Ulanzi ak Ulaka!