Apr 26, 2011

MZEE AGOMA KUFYEKA UWANJA WA MPIRA BAADA YA TIMU YAKE KUFUNGWA

Mzee huyu mkazi wa kijiji cha Chapwa amesusa kuendelea kufanya kazi ya kujitolea kufyeka uwanja wa mpira wa Chapwa baada ya timu aliyokuwa akiishabikia ya Tunduma kufungwa katika mechi mbili mfululizo kwenye michezo ya bonanza lililofanyika juzi kijijini hapo, hapa akiwa katika pozi la kukata tamaa kutokana na timu hiyo kufungwa 4-2 na timu ya Makambako veteran--- unazi nao balaa!!!