Daraja la mto Myovizi limeharibiwa na wananchi kwa kuondolewa mabomba hivyo kupoteza sura ya kingo za daraja hilo, tabia hii imekuwa hatari kutokana na miradi inayojengwa kutothaminiwa na wanufaika na matokeo yake kuendelea kutupia lawama kwa watendaji wa halmashauri kuwa miradi ipo chini ya viwango wakati sivyo. Tuthamini miradi iliyopo kwenye jamii zetu wananchi!!!!!!!!!!!!!!!