May 24, 2011

BREACKING NEWS: WANDISHI WAHABARI NA TUNDU LISU WAFIKISHWA MAHAKAMANI NA KUKOSA DHAMANA

Taarifa zilizotufikia kutoka TARIME zinaeleza kuwa wandishi wa habari wanne, na watu wengine waatatu akiwemo Mbunge wa Singida Tundu Lisu wamefikishwa mahamani  baada ya kushikiriwa na polis kwa muda
Mwingine aliyefikishwa mahakamani ni mbunge MWITA MWIKABE
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa awali Tundu lisu na wandishi wanne alikamatwa na polisi na baada ya kuhojiwa kwa muda walifikishwa mahamani wakiunganishwa na watu wengine akiwemo  Mwita Mwikabe na baada ya kufikishwa mahakamani walisomewa mashtaka matatu.
Imeelezwa kuwa walinyiwa dhamana na kurudishwa rumande katika gereza la wilaya ya TARIME ,WAKATI HUO HUO Maiti tano za waliokufa kwa kupigwa risasi TARIME zimetelekezwa barabarani.
Taaarifa zaidi mtaendelea kuletewa