Magari ya viongozi wa CHADEMA yakiwa yanakwenda kwa mwendo wa harusi huku wafuasi wakitembea kwa mguu.Dr slaa naye aliamua kuongozana na Sugu kwa kutembea kwa mguu kutoka mwanjelwa hadi viwanja vya mama John kulikofanyika mkutano
Gari la hamasa likipita eneo laMwanjelwa huku likitoa burudani nakumbuka wimbo waliokuwa wakipiga una vijembe fulani kwa chama tawala. |
Mbunge wa Mbozi Magharibi David Silinde akipita eneo la Mwanjelwa katika msafara mreeefu wa viongozi wa chama hicho uliokuwa na mbwembwe za aina yake |
Wazee wa vichupa , ama vikopo vya soda wakiwa katika gari lao tayari kwa lolote kama inavyojulikana kuwa wanaitwa Fanya lolote Uone!!!!!!!!!!!!! |
Mafundi wa ujenzi wa soko la MWANJELWA badala ya kuendelea na kazi waliamua kushika viuno na kushangaa msafara unaopita barabarani wa wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA