Mpiga picha katika kampuni yangu ya INDABA PRODUCTION bwana Hamis Mtoni akiwa katika moja ya kazi za kutengeneza Documentary katika maandalizi ya mwenge wa Uhuru unaowashwa mkoani MBEYA mwaka 2011. |
Bango la Baraza la Mazingira Tanzania NEMC likiwa limebwaga manyanga kando kando mwa barabaya ya Sinde kwenda Sabasaba ambako ndiko ofisi za Baraza hilo ziko |
Hapa ndipo makao makuu ya mamlaka ya maji Mbeya |
Hotel hii ni ya siku nyingi jijini Mbeya inaitwa Rift Valley, ipo makutano ya barabara ya Chunya, Karume Road, Jamatin Road na Sinde road. |