![]() |
| Hivi kweli Dingi ataweza kunisomesha na nikapata maisha bora kama wanavyotuambia? ni dalili za swali kama hili anajiuliza kijana wangu Chrsitian |
![]() |
| Mama usihngaike kunishika mkono naweza kutembea mwenyewe! |
![]() |
| Aaah hata milango mbona namudu kufungua? |
![]() |
| Ooh Shikamoo afisa! nitakuwa naheshimu wakubwa |



