Jun 21, 2011

ALIYETEMBEZA MKONG`OTO KWA WANDISHI AFUNGWA MWAKA MMOA

Shoto Shabani (mwenye suti) ambaye amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja na kulipa faini ya sh.200,000 na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Njombe, kwa kosa la kuwashambulia  wanahabari julai 15,2009, Lupembe wilayani Njombe, akisindikizwa na askari polisi jana kwenda katika mahabusu ya mahakama hiyo kwa ajili ya kusubiri kwenda kuanza kutumikia adhabu hiyo. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)