Jun 7, 2011

KWANINI WATOTO HUPENDA SANA WANYAMA?

Mara nyingi watoto hupenda wanyama katika maisha yao ya kuanzia umri wa miaka 5 hadi 15 na hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanyika

Hapa ni sehemu pia ya baadhi ya bustani zililopo kando kando ya jiji la Mbeya ambapo watoto wamekuwa wakipenda kupause kupata picha.
Pucha na Mac Mponzi