![]()  | 
| Viongozi chama cha Netball mkoa wakitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu za Polisi, Ras Mbeya juu ya masuala ya kujituma wakati wa mazoezi. | 
![]()  | 
| Huyu aliyesimama ukimwona anavyopeperusha upepo awapo kwenye mpira huo huwezi amini kama unene ni lolote mbele yake, yeye ni kiongozi wa CHANETA Taifa hivi sasa lakini mazoezi deileeeee! | 




