Jul 15, 2011

BUNDUKI ILIYOTUMIKA KUPORA SHILINGI MILIONI 150


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akionesha kwa wanahabari(hawapo pichani) silaha aina ya SMG na magazine 2 za AK 47 moja yenye uwezo wa kuchukua risasi 40  ikiwa na risasi 35 na nyingine yenye uwezo wa kuchukua risasi 35 ikiwa na risasi 30 ambayo ilitumika katika uporsaji wa fedha kiasi cha sh.149,722,150 mali ya Benki ya NMB tawi la Kyela mkoani Mbeya(Picha kwa hisani ya Blog ya mkwinda.blogspot.com)