Jul 8, 2011

WALTER REED PROGRAM WAJIPANGA KUJA NA PROGRAM MPYA YA COMBINATION PREVENTION

DED wa wilaya ya Rungwe akifuatilia maelezo ya wataalamu wa walter reed katika ukumbi wa JM Hotel Jana

Dr Mondea mmoja wa watalaam wa WRP akiongoza majadiliano  na wadau walioshirki katika kupitia randama ya kutekeleza program mpya ya Combination Prevention ambayo inaangalia katika maeneo ya Tiba, Masuala ya kimfumo na Matibabu( Bio medical, Structural and Behaviral) katika mapambano dhidi ya UKIMWI.

Mratibu wa TACAIDS Mkoani Mbeya Bwana Yoswe Msongwe akifuatilia kwa umakini mawasilisho ya makundi mbalimbali yaliyoshiriki kutoka wilaya za Mbozi na Rungwe ambako mradi huo mpya unatarajiwa kutekekelezwa kama Pilot area.

Washiriki wakifuatilia kwa karibu majadiliano

Wataalamu kutoka Walter Reed Program

Timu kutoka wilaya ya MBOZI ikiwa imeanisha baadhi ya masuala yanayokubalika katika utekeelezaji wa program hiyo kulingana na mila, utamadauni na mazingira zya wilaya hiyo