Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil jijini New York ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika maongezi mafupi na kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtabulisha Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh Ombeni Sefue kwa  kiongozi wa serikali  ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil .Picha na Ikulu Mawasiliano.
 



