Dec 3, 2011

TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA KAMA GUEST ZINAZINGATIA HILI

Hii inaweza kusaidia Tanzania Bila UKIMWI inawezekana!!!! hapa ni Iringa muda wa saa 2 tu mchana mambo yapo hivi je usiku mzima? na jee wale wanaokwenda hivi hivi hali ikoje?