Jan 1, 2012

HAPPY NEW YEAR..........RPC NYOMBI MBEYA AMTUNUKU BEJI MBUNGE JOSEPH MBILINYI (SUGU)

KULIA NI KAMANDA WA POLISI WA MKOA WA MBEYA ADVOCATE NYOMBI AKIKUMBATIANA NA MBUNGE JOSEPH MBILINYI JANA KATIKA UKUMBI WA MBEYA HOTEL AMBAPO SUGU ALITUNUKIWA BEJI YA BENDERA YA TAIFA KWA KUVALISHWA NA RPC HUYO.
KULIA NI BABA MZAZI WA KAMANDA ADVOCATE NYOMBI AKIWA UKUMBINI HAPO HUKU AKITAMBULISHWA KWA MBUNGE SUGU
KULIA NI MMILIKI WA www.kalulunga.blogspot.com AKIWA NA MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI NDANI YA UKUMBI WA MBEYA HOTEL WAKISUBIRI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2012
KUSHOTO NI MC MAARUFU TANZANIA CHARLES MWAKIPESILE AMBAYE PIA NI MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA GAZETI LA MAJIRA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA HUKU WAKIBADILISHANA JAMBO NA MBUNGE SUGU NA MMILIKI WA MTANDAO HUU AKIWA KULIA KWAO
MBUNGE JOSEPH MBILINYI (CHADEMA) MWENYE TAI NYEKUNDU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WADAU MBEYA HOTEL WAKISUBIRI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2012
WADAU WAKIWA WAMEKULA POZI NDANI YA UKUMBI WA MBEYA HOTEL JANA USIKU
TUMEUONA MWAKA 2012, ASHUKULIWE MUNGU KWA REHEMA ZAKE KUTUVUSHA SALAMA
MAPAPARAZI NDANI YA UKUMBI WA MBEYA HOTEL WAKIWA NA FURAHA WAKISUBIRI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2012, HAKIKA ILIFANA SAAAAAAANA
UTAMU WA KUVUKA MWAKA KWA WANAHABARI, KAMUZIKI KIDOGO, STEPU NYINGI
MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI (CHADEMA) AKIZINDUA RASMI NA KUELEZA JINSI ALIVYOGUSWA NA MASUALA YA ELIMU NA KUAMUA KUANZISHA MFUKO WA MBEYA CITY EDUCATION TRUST FUND, AMBAPO ZAIDI YA SHILINGI MILIONI KUMI ZILIPATIKANA ZIKIWA NI TASILIMU NA AHADI.
KUSHOTO NI MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI MBEYA GODFREY KAHANGO AKIBADILISHANA JAMBO NA MBUNGE JOSEPH MBILINYI USIKU WA KUAMKIA MWAKA MPYA 2012
JAMANI PUNGUZENI KUANGALIA HIZI NI STEP TU, VP UNAONAJE?
NI KAMA WANAAMBIANA.....BADO MAMBO YA KUNYWA NA KULA YAPO, UNAWEZA KUONGEZA KIDOGO HATA MAJI SI NAJUA WEWE NI PASTOR?
KULIA NI MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA MBEYA MJINI JOHN MWAMBIGIJA
MSANII WA NYIMBO ZA KIZAZI KIPYA MKOLONI AKIHESABU FEDHA ZILIZOTOLEWA NA WADAU KUUNGA MKONO MFUKO WA ELIMU MBEYA MJINI ULIOANZISHWA NA MBUNGE SUGU AMBAYE ALITOA SHILINGI MILIONI TATU.
KULIA NI KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA ADVOCATE NYOMBI AKIMVESHA BEJI YA TANZANIA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI
WAKIFURAHI KWA PAMOJA BAADA YA SUGU KUVESHWA BEJI YA TANZANIA KAMA ISHARA YA UPENDO NA FURAHA YA KUVUKA MWAKA MPYA KWA AMANI NA UTULIVU KATIKA JIJI LA MBEYA
RPC NYOMBI KATIKATI AKIONESHA BEJI ALIYOMTUNUKIA NA KUMVESHA SUGU
KUSHOTO NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA CHRISTOPHER NYENYEMBE NI KAMA ANAMWELEZA MWENYEKITI WA NIDHAMU WA WANAHABARI MKOA WA MBEYA CHARLES MWAKIPESILE KUWA SASA INATOSHA........NAONDOA NAENDA KULALA NIMEUONA MWAKA 2012.........
TUIPENDE TANZANIA YETU KWA KUWA WAZALENDO PIA KUVAA ALAMA ZA UTANZANIA WETU KAMA INAVYOONEKANA.........