|  | 
| Wafanyakazi wakiendelea na maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Mjini DODOMA mchana huu | 
|  | 
| Taasisi na Idara mbalmbali zikiandamaana katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi MEI MOSI | 
|  | 
| Chuo cha Biashara Dodoma CBE wakiwa miongoni mwa waandamanaji wakipita mbele ya mgeni rasmi | 
|  | 
| WIMBO wa solidarity forever ukiimbwa kwenye maadhimisho hayo | 
|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo wakifuatilia kwa makini maonyesho ya taasisi mbalimbali wakati magari na mbwembwe hizo zikipitishwa kwenye uwanja wa jamhuri | 
|  | 
| Sehemu ya waaandamanaji wakieelekea kwenye jukwaaa kuu ambako mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi | 
|  | 
| Wafanyakazi wa manispaa ya Dodoma wakifanya usafi kwenye uwanja wa hamhuri kama sehemu ya maonyesho ya maadhimisho ya siku ya wawafanykazi mei mosi | 
|  | 
| Wafanyakazi wakifuatilia mbwembwe za maonyesho ya taasisi mbalimbali yaliyokuwa yakipita kwenye jukwaa kuu | 
|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi bora wakisubiri muda mwafaka wa kuchukua chao mbele ya mgeni rasmi | 
