|  | 
| Mama huyu akiwa eneo la Tukio kusubiria nyama ya bei chee iliyokuwa inauzwa na vijana waliojiajiri kuchinja ng'ombe waliokufa kwenye ajali hiyo iliyotokea eneo la Old Vwawa wilayani Mbozi | 
|  | 
| Hapa jamaa akibeba kichwa cha ng'ombe baada ya kujimegea vipande vyake tayari kupeleka nyumbani | 
|  | 
| Hapa akipeleka nyumbani kwake kwa mwendo wa pole! vichwa viiwili mkononi e bwana eeee | 
|  | 
| Hapa maini yalishachambuliwa yamebakia mapupu huku ng'ombe huyu aliyehai akishuhudia wenzake wanavyocharangwa mautumbo yao mbele yake! ngombe huyu amevunjika miguu yote kwenye ajali hiyo | 
|  | 
| Hili ndilo gari lililotumbukia kwenye mto Old Vwawa na kuua ng'ombe 25 kati ya 46 waliokuwa wakisafirishwa kutoka sumbawanga kwenda mbeya, | 
|  | 
| Katika ajali hiyo ng'ombe mmoja kama anavyoonekana amening'inia kwenye bodi alishindwa kuchomolewa hapo, wakati huo pia watu watano wamejeruhiwa kwenye ajali hiyo ambapo walitibiwa na kuruhusiwa | 
|  | |
| Afisa mifugo wilaya ya Mbozi bwana Thabit Rukarisha akizungumzia wananchi kuuziwa mizoga ya Ng'ombe ambao hawajapimwa katika miji ya Tunduma,VWAWA na Mlowo wilayani Mbozi | Puch | 
